TANGAZO LA WITO WA USAILI

10 Jul. 2020

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), unawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi katika Kampuni ya Hifadhi (Hifadhi Investment Company ltd) kuwa, majina ya waliochaguliwa kufanya usaili yapo tayari na yanapatikana katika kiunganishi hapo chini.

Kwa waombaji waliowasilisha maombi yao Unguja, usaili utafanyika katika Viwanja vya Kufurahishia Watoto Kariakoo Mjini Unguja siku ya Jumapili tarehe 12, Julai 2020 saa 2:00 barabara za asubuhi

Aidha kwa upande wa Pemba, usaili utafanyika katika Viwanja vya Kufurahishia Watoto Tibirinzi Pemba. siku ya Jumanne tarehe 14 saa 2:00 barabara asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo pamoja na kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi.

 

AHSANTENI.

 

MKURUGENZI MWENDESHAJI,

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR,

S.L.P 2716 - ZANZIBAR

 Orodha ya Wasailiwa

 

ZSSF Contacts

S.L.P 2716, Kilimani Mnara wa Mbao,

Zanzibar - Tanzania

Phone: +255 24 2230242

Fax: +255 24 2232820

E-Mail: info(at)zssf.org

1865639
Today
Yesterday
This Week
This Month
1364
1238
8327
13623
JoomShaper