Tangazo la Nafasi za Kazi

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria Na. 2 ya mwaka 1998, sheria ambayo ilifanyiwa marekebisho na kupelekea kuanzishwa upya kwa Sheria Na. 2 ya mwaka 2005.

Madhumuni ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ni kuwarejeshea wanachama wake uwezo wa kifedha pale ambapo mwanachama hawezi kufanya kazi kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kustaafu kazi, maradhi na kufariki.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) unawatangazia vijana wenye sifa nafasi za kazi kwa ajili ya kujaza nafasi mbali mbali kwa afisi zake za Unguja na Pemba, na katika Kampuni ya Uwekezaji ya Hifadhi (Hifadhi Investment Company Ltd).

Maelezo zaidi ya nafasi hizo ni kama ifuatavyo:

 

  1. Tangazo la Ajira Afisi za ZSSF
  2. Tangazo la Ajira Hifadhi Investment Company Ltd

 

ZSSF Contacts

S.L.P 2716, Kilimani Mnara wa Mbao,

Zanzibar - Tanzania

Phone: +255 24 2230242

Fax: +255 24 2232820

E-Mail: info(at)zssf.org

1860012
Today
Yesterday
This Week
This Month
451
1124
2700
7996
JoomShaper