Mgeni rasmi Mhe. Juma Malik Akil akiwa katika hafla ya Ujio wa Mabasi 15 ya Umeme (ZanBus) kwa awamu ya tatu. 
Habari · 2026-11-06 UTC
Mabasi ya umeme
Awamu ya tatu ya ujio wa mabasi ya umeme (ZanBus). Jumla ya mabasi 15 yamewasili

