Mradi Mpya wa Nyumba Za Mbweni
Mbweni, Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharib
Mradi hio upo katika eneo la Mbweni takriban kilomita moja kutoka uwanja wa ndege wa Zanzibar na kilomita 5 kutoka mji wa Zanzibar. Mahali pake maalum ni kando ya barabara ya Mbweni karibu na Chuo cha Ufundi Karume upande wa kusini.
Makazi
Fahamu mradi →
