Nd. Nassor Shaaban Ameir ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), mwenye jukumu la kutoa uongozi wa kiutendaji, kusimamia shughuli za Mfuko, utekelezaji wa mikakati na utoaji wa huduma za hifadhi ya jamii.
Soma wasifu →Menejimenti yetu
Timu ya Menejimenti ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) inaongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji, ambaye anatoa uongozi wa kimkakati na kusimamia shughuli za Mfuko kwa ujumla, akisaidiwa na Wakurugenzi wa Idara na Wakuu wa Vitengo. Idara zimegawanyika katika Divisheni zinazoongozwa na Mameneja wenye jukumu la kuratibu na kusimamia shughuli za maeneo yao.
Mkurugenzi Mwendeshaji
Wakurugenzi
Bw. Saleh Anasimamia na kufuatilia masuala ya rasilimali watu na huduma za kiutawala katika ZSSF.
Soma wasifu →Idara ya Fedha na Uhasibu
Soma wasifu →Mkurugenzi Hifadhi ya Jamii
Soma wasifu →Nd. Abdulaziz Ibrahim Iddi ni mwenye kukubaliana na mabadiliko, mwenye imani katika kufanya kazi kwa pamoja na kulenga matokeo na mwenye uzoefu mkubwa wa kufanya kazi katika ngazi ya uongozi kwa zaidi ya miaka 30 na rekodi thabiti ya utendaji katika Mfuko.
Soma wasifu →Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji
Soma wasifu →Mkurugenzi Ofisi ya Pemba
Soma wasifu →Wakuu wa Vitengo
Kitengo cha TEHAMA
Soma wasifu →Mkuu wa Kitengo cha Sheria
Soma wasifu →Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Soma wasifu →Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Vihatarishi
Soma wasifu →Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Elimu kwa Umma
Soma wasifu →Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi
Soma wasifu →Mameneja
Meneja Hifadhi ya Jamii
Soma wasifu →Idara ya Mipango na Uwekezaji
Soma wasifu →Idara ya Uhasibu na Fedha
Soma wasifu →Idara ya Hifadhi ya Jamii
Soma wasifu →Idara ya Rasilimali watu na Utawala
Soma wasifu →Manager Islamic Social Security
Soma wasifu →Idara ya Mipango na Uwekezaji
Soma wasifu →Idara ya Mipango na Uwekezaji
Soma wasifu →Idara ya Fedha na Uhasibu
Soma wasifu →
