Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakiwa katika utekelezaji wa mpango wa kufikia jamii huko Jambiani, Mkoa wa Kusini Unguja. Kwa upande wa wafanyakazi imejumuisha watendaji kutoka Afisi ya Wilaya ya Kusini pamoja na Maafisa Uhusiano kutoka Afisi Kuu, Kilimani