Mweneyekiti wa Kamati ya PAC ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Kombo Mwinyi Shehe (kulia) akiongoza kikao cha kufuatilia ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu ukaguzi wa kiufundi na uimarishaji wa kiwanja cha michezo cha Matumbaku pamoja na miundombinu yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024, katika ukumbi wa ZSSF Mnara wa Mbao Zanzibar.
Habari · 2026-10-29 UTC
Ziara ya Kamati ya PAC ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Kamati ya PAC ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, ikitembelea Afisi Kuu ya ZSSF

