Meneja wa Tawi la Benki ya Amana Zanzibar, Ndg. Ame Hakiba Hassan akizungumza na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kuhusu huduma wanazotoa kupitia benki hiyo pamoja na kuimarisha mashirikiano kati ya ZSSF na Benki hiyo. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi za ZSSF Kilimani Mnara wa Mbao Zanzibar.
Habari · 2026-11-19 UTC
Kukuza ushirikiano
Meneja wa Tawi la Benki ya Amana Zanzibar, Ndg. Ame Hakiba Hassan akizungumza na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)

