Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSSF akihutubia katika Mkutano wa Kwanza wa Bara la Afrika kuhusu Hifadhi ya Jamii katika Sekta ya Miundombinu unaoendelea mjini Addis Ababa Ethiopia