Maelezo ya fao

UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA ULEMAVU

Mwanachama ambaye amepata ulemavu au hawezi tena kufanya kazi kwa uthibitisho wa daktari atajaza fomu pamoja na kuambatanisha vitu vifuatavyo:-

   • Kadi ya uanachama wa ZSSF.

   • Ripoti ya Bodi ya Madaktari 

   • Barua ya mwanachama kuomba mafao

   • Barua ya Muajiri kumuombea Mwanachama mafao.

   • Picha moja

   • Muombaji awasilishe nambari ya akaunti yake ya Benki.