Maelezo ya fao

UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA UZAZI

Mwanachama atawasilisha maombi ya mafao ya uzazi baada ya kujifungua kwa kujaza 

fomu na ataambatanisha vielelezo vifuatavyo:-

   (i) Barua ya maombi ya Mafao ya Uzazi.

   (ii) Kivuli cha kadi ya Uanachama wa Mfuko.

   (iii) Kivuli cha kizazi Hai cha mtoto 

   (iv) Kivuli cha Gamba la Kliniki la Mama.

   (v) Nakala ya barua ya likizo ya uzazi kutoka kwa mwajiri.

   (vi) Picha moja ya aina ya Pasi ya kusafiria.

   (vii) Hati nyingine zozote zinazoweza kuthibitisha maombi  hayo.

   (viii) Nambari ya hesabu ya mwanachama (bank Account)