Maelezo ya fao

UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA UZEENI

Mmwanachama ambaye ameshafikia umri wa kustaafu na amestaafu atajaza fomu ya Madai ya Mafao pamoja na kuambatanisha vitu vifuatavyo:-

   • Kadi ya uanachama wa ZSSF.

   • Barua ya kustaafu kazi

   • Barua ya mwanachama kuomba mafao

   • Barua ya Muajiri kumuombea Mwanachama mafao.

   • Ardhil-hali ya kuingia kazini kwa Serikali/Kitambulisho cha Umri Sekta Binafsi

   • Picha moja ya Passport size

   • Muombaji awasilishe nambari ya akaunti yake ya Benki.