Maelezo ya fao
SIFA ZA MUOMBAJI MAFAO YA SURVIVOR
Muombaji lazima awe kati ya wafuatao:-
i. Mume, Mke wa marehemu
ii. Watoto wa marehemu ikiwa mume au mke wa marehemu amefariki.
iii. Baba/ Mama ikiwa marehemu hakuowa au kuolewa na wala hana mtoto
iv. Ndugu wa karibu ikiwa marehemu hakuowa/kuolewa hana mtoto na wazee wake wote wamefariki.
UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA URITHI
Kwa mwanachama aliefariki muombaji atajaza fomu pamoja na kuambatanisha vitu vifuatavyo:-
• Barua ya Maombi
• Barua ya Muajiri kumuombea Marehemu mafao
• Barua ya Sheha
• Cheti Cha Kifo
• Kadi ya Marehemu ya ZSSF
• Kadi ya Zanzibar Mkaazi ya Muombaji
Malipo yanapelekwa Wakfu kwa Waislamu na Wasiokuwa waislamu yanapelekwa BPRA.


