Maelezo ya fao

UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA UPOTEVU WA AJIRA

Fomu hii ijazwe na mwanachama ambaye anaomba Mafao ya Upotevu wa Ajira.

   • Barua ya Maombi

   • Barua ya kusitishwa ajira au kuachishwa kazi au kumalizika kwa muda wa mkataba wa kazi kutoka kwa mwajiri wa mwisho wa mwanachama.

   • Uthibitisho kutoka Kamisheni ya Kazi Ofisi Kuu ya Utumishi wa Umma Zanzibar

   • Kiapo kutoka Mahakamani kuwa mwanachama hana ajira