Serikali ya Mapinduzi Zanzibar emblem
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZanzibarUfunguo wa maisha ya baadaye
Nyumbani

Skimu

Wanachama binafsiWanufaikaWaajiriWateja wa uwekezajiProgramu za simuViungo husikaMenejimenti ya ZSSFBodi ya Wadhamini ya ZSSFMiradi ya uwekezajiSkimu
Skimu ya Shariah

Skimu ya Shariah

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) unaendesha Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa misingi ya Shariah za Kiislamu, unaolenga kutoa huduma za hifadhi ya jamii kwa kuzingatia misingi ya Kiislamu. Mfuko huu unasisitiza mshikamano, uadilifu, uwazi na kusaidiana, pamoja na kuhakikisha usimamizi bora wa michango, mafao na uwekezaji kwa kuzingatia misingi ya fedha za Kiislamu (halali).

Skimu ya hiari

Skimu ya hiari

Mwombaji hujisajili kwa taarifa binafsi, mawasiliano na picha ya pasipoti. Mwanachama hupata kitambulisho na maelekezo ya kuchangia.

Skimu ya Fidia

Skimu ya Fidia

Ajali na ugojwa unaotokana na kazi ni malipo yanayolipwa kwa mwanachama wa Mfuko pale anapopata maumivu yanayotokana na ajali, maradhi yatokanayo na kazi au kifo wakati au katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.

Washirika na Wadau

Tafuta ZSSF

Fungua ukurasa wa utafutaji →

Your ZSSF Assistant

Mitandao ya kijamii
Maoni ya WatejaToa Taarifa ya UkiukwajiWhatsApp