Washiriki wa mkutano wa tano wa mwaka wa ZSSF wakipitia utekelezaji wa Mpango Mkakati wa 2021/2022–2025/2026 na kujadili mpango wa 2026/2027–2028/2029.
Naibu Waziri wa Fedha wakati wa ziara yake ZSSF, akikagua maeneo ya kazi, akisikiliza maelezo ya wafanyakazi kuhusu majukumu yao ya kila siku, na kutoa maelekezo kwa lengo la kuimarisha ufanisi wa kazi.