Mradi hio upo katika eneo la Mbweni takriban kilomita moja kutoka uwanja wa ndege wa Zanzibar na kilomita 5 kutoka mji wa Zanzibar. Mahali pake maalum ni kando ya barabara ya Mbweni karibu na Chuo cha Ufundi Karume upande wa kusini.
Mradi upo takriban kilomita 13 Kusini-Mashariki mwa Mji wa Mkongwe. Upande wake uko kando ya barabara kuu inayounganisha Jiji la Zanzibar na sehemu za kati na mashariki za kisiwa