(i) Awe mwanachama mwanamke aliyesajiliwa katika Mfuko Wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.

   (ii) Awe amechangia miezi 36 na miezi 6 ya mwisho iwe mfululizo. 


UTARATIBU WA MAOMBI YA MAFAO YA UZAZI

Mwanachama atawasilisha maombi ya mafao ya uzazi baada ya kujifungua kwa kujaza 

fomu na ataambatanisha vielelezo vifuatavyo:-

   (i) Barua ya maombi ya Mafao ya Uzazi.

   (ii) Kivuli cha kadi ya Uanachama wa Mfuko.

   (iii) Kivuli cha kizazi Hai cha mtoto 

   (iv) Kivuli cha Gamba la Kliniki la Mama.

   (v) Nakala ya barua ya likizo ya uzazi kutoka kwa mwajiri.

   (vi) Picha moja ya aina ya Pasi ya kusafiria.

   (vii) Hati nyingine zozote zinazoweza kuthibitisha maombi   

          hayo.

   (viii) Nambari ya hesabu ya mwanachama (bank Account)