Nyumbani / Huduma za simu HUDUMA ZA SIMU
ZSSF kupitia simu yako Pata huduma za ZSSF popote ulipo kupitia WhatsApp, Programu ya Simu ya ZSSF na USSD. Angalia salio la michango yako, pitia kumbukumbu za michango na fuatilia hali ya maombi yako ya mafao bila kutembelea ofisi.
Fahamu huduma za simu → Programu ya simu WhatsApp USSD Programu ya simu Angalia taarifa ya michango, mafao, kikokotoo na huduma nyingine za akaunti.
Pakua programu ya ZSSF kutoka App Store au Google Play. Jisajili ikiwa wewe ni mtumiaji mpya, au ingia ikiwa tayari una akaunti. Angalia taarifa zako binafsi za uanachama na huduma zinazopatikana. WhatsApp Uliza kuhusu uanachama, michango na mafao, au pata msaada unaohitaji.
Hifadhi namba ya WhatsApp ya ZSSF +255778050000 . Fungua WhatsApp na utume neno zssf kwenye namba hiyo. Utapokea ujumbe wenye menyu ya huduma. Chagua huduma unayotaka. Anza mazungumzo ya WhatsApp → USSD Pata huduma za ZSSF kupitia menyu rahisi ya simu bila bando la intaneti.
Piga *148*21*
Karibu ZSSF. Tukusaidie nini?
Ninajiandikisha vipi?
Chagua kupata mwongozo: 1. Uanachama 2. Michango 3. Mafao
Mfano tu USSD Menyu rahisi ya simu. Haihitaji bando la intaneti.
*148*21* Programu imeoneshwa kwa taarifa za mfano.
Anza kutumia 1. Chagua njia Tumia programu au kiungo rasmi. 2. Fuata maelekezo Andaa taarifa zako za uanachama. 3. Linda taarifa zako Usitoe nywila, PIN au OTP kwa mtu mwingine. Unahitaji msaada? Piga bure 0800 710 140
Fahamu huduma za ZSSF kupitia WhatsApp, programu ya simu na USSD. Wasiliana na ZSSF kuhusu mahitaji ya sasa, huduma zinazopatikana na mwongozo.