MadukaMikutano
Iliyopo / inayotumika
Kiwanja Cha Kufurahisha Watoto Umoja Pemba
Kiwanja Cha Kufurahisha Watoto Umoja Pemba kipo Tibirinzi Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar.
Kuhusu mradi
Mradi huu ulikamilika mwaka 2015/2016
Mradi umejumuisha vitu vifuatavyo: -
(i) Maduka
(ii) Vibanda
(iii) Maegesho ya magari
(iv) Pembea
(v) Holi
(vi) Vyoo vya umma

