UpangishajiOfisiMikutanoHoteli
Iliyopo / inayotumika
Jengo la Hifadhi
Jengo la Hifadhi lipo Tibirinzi Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar.
Kuhusu mradi
Mradi huu ulikamilika mwaka 2019/2020
Mradi una ghorofa 3 ambazo ni:-
Sehemu ya chini
• Kwa ajili ya ofisi ya ZSSF Pemba
Ghorofa ya kwanza na ya pili
• kwa ajili ya kupangisha Ofisi
Ghorofa tatu
• Kwa ajili ya kupangisha Hotel

