MadukaOfisiMiundombinu
Iliyopangwa
Kituo Cha Basi Buyu
Mradi upo katika Mkoa wa Mjini/Zanzibar Magharibi upande wa Kusini/Magharibi wa Kisiwa cha Unguja
Kuhusu mradi
Mradi upo katika Mkoa wa Mjini/Zanzibar Magharibi upande wa Kusini/Magharibi wa Kisiwa cha Unguja, takriban km 14 Kusini mwa Mji Mkongwe na takriban km 6 kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. Uko kando ya barabara ya Uwanja wa Ndege–Shakani na karibu na Chukwani.
Eneo la mradi unaopendekezwa kwa sasa linatumika kama eneo la makazi.
Mradi unajumuisha eneo la sakafu lililojengwa la m² 2,000.
Mradi unahusisha vitu vifuatavyo:-
(i) Maduka
(ii) Maegesho ya mabasi
(iii) Huduma za umma
Maendelelo ya miradi pia yanajumuisha kazi za nje na huduma za jumla, zikihusisha muunganisho wa mitaro ya umma, maji, umeme mkuu, upandaji bustani, jenereta za dharura na huduma za kuhifadhi maji.

