Miundombinu
Iliyopo / inayotumika
Maegesho ya magari Malindi
Mradi upo kwenye uwanja wa Malindi karibu na kituo cha polisi cha Malindi nyuma ya sehemu ya maegesho ya ZSSF Malindi
Kuhusu mradi
Mradi umewekwa kwenye uwanja wa Malindi karibu na kituo cha polisi cha Malindi nyuma ya sehemu ya maegesho ya ZSSF Malindi. Eneo lililojengwa mradi huu lilikuwa likitumika kama uwanja wa michezo mbalimbali.
Mradi unahusisha vitu vifuatavyo:-
• Eneo la mzunguko
• Maegesho ya magari
• Ofisi ya Utawala
• Mfumo wa Ukusanyaji Ada za Maegesho
• Huduma za Uma/Vifaa
• Eneo la wazi.

