Serikali ya Mapinduzi Zanzibar emblem
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZanzibarUfunguo wa maisha ya baadaye
Maduka
Iliyopo / inayotumika

Jengo la Biashara Zssf Mwanakwerekwe

Jengo la ZSSF Mwanakwerekwe ni jengo la biashara linalopatikana Mwanakwerekwe, Zanzibar takribani kilomita 4.5 kutoka Stone Town.

Kuhusu mradi

Mradi huu ulikamilika mwaka 2009 na liko karibu na soko la kubwa Mwanakwerekwe

Mradi unafikika Kwa urahisi mana upo mbele ya Barbara kubwa na uko karibu na huduma za kijamii.

Mradi umejumuisha vitu vifuatavyo: -  


   (i) Maduka 


   (ii) Nafasi za Ofisi  


   (iii) Maegesho ya magari binafsi   


   (iv) Huduma za Kibenki


   (v) Vyoo vya umma

Picha za mradi

Washirika na Wadau

Tafuta ZSSF

Fungua ukurasa wa utafutaji →

Your ZSSF Assistant

Mitandao ya kijamii
Maoni ya WatejaToa Taarifa ya UkiukwajiWhatsApp