MadukaOfisi
Iliyopo / inayotumika
Jengo la biashara la Sheikh Thabit Kombo
Mradi upo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar (ZUMC) katika Mkoa wa Urban West.
Kuhusu mradi
Mradi huu ulianza June 2019 na ulikamilika rasmin na kuwekwa jiwe la msingi na aliyekuwa raisi wa Zanzibar Dr. Ali Moh’d Shein mwaka 2020
Jengo hili kwa sasa lina ghorofa tano (5)ambazo ni:-
Ghorofa ya chini ya ardhi {basement}
• Inatumika kwa ajili ya maegesho ya magari yenye uwezo wa kuchukua gari takriban 20 na vyombo vya moto 16 kwa wakati mmoja.
Ghorofa ya chini (ground floor)
• Inatumika kama ni sehemu ya kibiashsra yenye ukubwa wa 1236m yenye maduka takriban 48 na kuwa ni sehemu ya maduka ya biashara.
Ghorofa ya pili na ya tatu
• Zinatumika kwa ajili ya ofisi zinazokodishwa kwa Taasisi, kampuni na watu binafsi

