UpangishajiMakaziMadukaOfisiBurudaniMiundombinuMikutanoHoteli
Iliyopo / inayotumika
Jengo la biashara Michenzani
Mradi upo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar (ZUMC) katika Mkoa wa Urban West.
Kuhusu mradi
Ujenzi huu ulianza 2018 hadi 2020. Mradi huu ulifunguliwa rasmin 2020 na iliekuwa raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mh. Dr. Ali Moh’d Shein
Mradi huu ulijumuisha ujenzi wa maduka, maofisi, surpermarkets,na maegesho.
Mradi umejumuisha vitu vifuatavyo: -
(i) Maduka
(ii) Nafasi za Ofisi
(iii) Maegesho ya magari binafsi
(iv) Duka la Mahitaji mbali mbali (Supermarket)
(v) Vyoo vya umma
(vi) Sehemu za michezo ya watoto

