MadukaMikutano
Iliyopo / inayotumika
Kiwanja cha Kufurahisha Watoto - Uhuru
Mradi upo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar (ZUMC) katika Mkoa wa Urban West.
Kuhusu mradi
Mradi huu ulikamilika mwaka 2014/2015
Mradi umejumuisha vitu vifuatavyo: -
(i) Maduka 47
(ii) vibanda 12
(iii) Maegesho ya magari
(iv) Pembea
(v) Michezo ya Video Games
(vi) Vyoo vya umma
(vii) Holi

