Serikali ya Mapinduzi Zanzibar emblem
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZanzibarUfunguo wa maisha ya baadaye
UpangishajiMakaziMadukaOfisi
Iliyopo / inayotumika

Jumba La Treni

Mradi upo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar (ZUMC) katika Mkoa wa Urban West.

Kuhusu mradi

Jengo lilikarabatiwa mwaka 2018 ukarabati huo ulikamilika na lilifunguliwa rasmi na aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein


Mradi umejumuisha vitu vifuatavyo: -  


   (i) Maduka 65  


   (ii) Sehemu za ATM  


   (iii) Nyumba 10 za kuishi


   (iv) Mgahawa, 


   (v) Sehemu za kufanyia mazoezi ya mwili  


   (vi) Vyoo vya umma

Picha za mradi

Washirika na Wadau

Tafuta ZSSF

Fungua ukurasa wa utafutaji →

Your ZSSF Assistant

Mitandao ya kijamii
Maoni ya WatejaToa Taarifa ya UkiukwajiWhatsApp