Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Ya Zanzibar
Mradi upo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar (ZUMC) katika Mkoa wa Urban West.
Kuhusu mradi
Mnara huu una jumla ya ghorofa nane {8}
• Sehem ya chini {basemant} ni sehem ya:-
Makumbusho ya mapinduzi ya Zanzibar.
Duka linalouza vitu tofauti tofauti vyenye nembo ya mnara.
Eehemu ya kuonyesha filamu ya historia ya Zanzibar, historia ya mapinduzi na asili ya
muziki wa Zanibar.
Eneo hili pia lina ofisi za uwendeshaji wa Mnara na ofisi za vifaa vya usalama.
• Ghorofa ya kwanza eneo hili ni sehem kwa ajili ya kupumzikia wageni na kuangalia manzari ya eneo hilo.
• Ghorofa ya sita ni sehemu ya mkahawa unaozunguka inatumika kwa ajili ya kula.
• Ghorofa ya saba, eneo hili linatumika kuwa ni sehemu ya jiko kwa ajili ya kupikia chakula.
• Na ghorofa ya nane inatumika kama ni sehemu ya kula.

