Serikali ya Mapinduzi Zanzibar emblem
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZanzibarUfunguo wa maisha ya baadaye
Makazi
Iliyopo / inayotumika

Mbweni Mpya

Mradi upo katika eneo la Mbweni karibu kilomita moja kutoka uwanja wa ndege wa Zanzibar na kilomita 5 kutoka mji wa Zanzibar.

Kuhusu mradi

Umezungukwa na barabara zinazofikika pande zake mbili, upande wa mashariki kuna barabara inaelekea Chukwani na upande wa kusini kuna barabara inaelekea Chuo cha Sayansi ya Afya na pia kiwanja cha mtu binafsi jirani na Chuo cha Ufundi cha Karume.


Mradi huu ulikamilika mwaka 2017/2018. 

Eneo hilo lina blocks 15 ambazo kila moja ina sakafu 7 (sakafu ya chini na nyingine sita juu), ambapo idadi jumla ya vitengo ni 210.


Mradi una majengo ya vyumba 2, 3, na 4;


   • Blocks 6 za vyumba 2


   • Blocks 8 za vyumba 3


   • Block 1 za vyumba 4


Picha za mradi

Washirika na Wadau

Tafuta ZSSF

Fungua ukurasa wa utafutaji →

Your ZSSF Assistant

Mitandao ya kijamii
Maoni ya WatejaToa Taarifa ya UkiukwajiWhatsApp